Tuesday, January 30, 2018

JINSI YAKUTENGENEZA LIP BALM

Jinsi ya kutengeneza lipbam
Aina ya kwanza

mahitaji
Vaseline /mafuta yoyote ya mgando yani petroleum jelly
Mafuta ya Nazi
Asali
Rangi nyekundu ya chakula
/lipstick ( utachagua mwenyew utumie nini)
Jiko

Utengenezaji
Washa jiko bandika sufuria . weka vaseline ya kutosha  kulingana na hitaji lako ( kama unatengeneza lipbam nying weka nyingi )acha iyeyuke
Ikishayeyuka weka asali kidogo. Changanya vizuri.
Weka rangi ( utachagua mwenyew unataka lipbam ziwe rangi  gani)changanya vizuri kabisa . kisha mimina kwenye vifungashio. Halafu peleka kwenye friji muda Wa masaa kama mawili hivi . au unaweza kuiacha kwenye hewa tuu ila itachukua muda mrefu kuganda Ni vema ungetumia friji

Aina ya pili

Yeyusha vaseline /petrolleym jelly yoyote .kisha weka mafuta ya nazi kiasi.  Changanya vizuri . weka rangi/eyeshadow au kipande cha lipstick ( ila uwe umekiyeyusha) changanya vzuri  weka kwenye  vifungashio peleka kwenye friji


Aina ya tatu
Rangi za kuchorea ( za mashulen)
Vaseline /petroleum jelly
Vunjavunja rangi . weka kwenye sufuria . ( sasa hapa ka unataka lipbam ziwe pink utavunja rangi za pink tuu n.k)
Yeyusha jikoni. Ongeza vaseline  changanya vizuri. vikiyeyuka ipua mimina kwenye  vifungashio peleka kwenye friji. Baada ya Masaa kama mawili zitakuwa tayari.


Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...