Thursday, July 5, 2018

MANGO SMOOTHIE

Ingredients
1,,,mango(embe)
2,,,cashewnuts(korosho)
3,,,ginger(tangawizi)
4,,turmeric(manjano)
5,,coconut water

😍enjoy


Sunday, July 1, 2018

STRAWBERRY ICE CREAM

MAHITAJI
1,,strawberry 8 au 10
2,,cream milk kikombe 1 na nusu
3,,consened kikombe kimoja(ni yale maziwa mazito yenye sukari)
4,,sukari robo kikombe
5,,vanilla kijiko 1(ya maji au ya unga ni sawa tu)
   UTENGENEZAJI
     Changanya strawberry zako zisage pamoja na sukari,tumia brenda ya juice  ila usitie maji

Chukua mashine  ya kusagia keki na uanze  kusaga cream,consened pamoja na vanilla,hakikisha imekuja juu kidogo

halafu changanya strawberry zako changanya kwa kutumia mwiko,ice cream itakua tayari,
Iweke kwenye friza masaa kumi na mbili na kuendelea


Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...