Monday, September 11, 2017

MAHABA

MAHABA(EXTRA LOVE)💓

Mahaba ni mapenzi ya ziada yanayokuja kwa wakati tofauti
💓💓💓💓💓💓💓💓💓

Mabaha yameambatana na vitu hivi:
1.Busara na heshima  💓
2.Huruma na ukarimu💓
3.Ucheshi na matani   💓
4.Kuliwaza na umoja. 💓
5.Ukweli na uwazi         💓

1.BUSARA NA HESHIMA
kumuheshimu mumeo na kumpa cheo ndani ya nyumba yenu,cheo chake kiwe kikubwa kuliko chako watoto uwafunze kumuonesha heshima zaid baba yao.kumuheshimu mume na kutofanya jambo bila amri yake na kutofanya jambo bila kupata ushairi wake,na pia kumsikili na kumfata amri zake.
💓💓💓💓💓💓💓💓💓

2.HURUMA NA UKARIMU
Umuhurumie anapochoka muambie leo usifanye kaz fulan nakuona umechoka pumzika tafazali,umhurumie anapoumwa anapofanya kaz nzito na anapochoka,umhurumie anapochelewa kurudi nyumban
💓💓💓💓💓💓💓💓💓

Mkarimu kma unavowakarimu wageni wako umuandilie vizuri na umuoneshe ukarimu kma alitoka safari za mbali kma ambapo hamujaonana kwa kipindi kikubwa,mkarimu na umfanyie mazur na kwa siku zote.
💓💓💓💓💓💓💓💓💓

3.UCHESHI NA MATANI.
unapokaa nae mpe maongezi mazuri mazur mtolee hadithi nzur zitakazomfurahisha na kumsisimua.uwe unampa matani ambao yatamchekesha na kumfurahisha na kujiona ana nguvu wakati kachoka, mtanie unapokua nae karibu matani ya kimapenzi.
💓💓💓💓💓💓💓💓💓

4.ULIWAZE NA UMOJA
anapopata msiba wa wazee,ndugu,jamaa na marafiki mliwaze yamuondokee huzun za kufiwa,mliwaze kwa matamu anapokosa riski aliyoitarajia,mliwaze yanapomfika mazito katika nafsi yake na umuambie bado tupo pamoja usimvunje tamaa mpe matumaini.
💓💓💓💓💓💓💓💓💓

5.UKWELI NA UWAZI
unapokaa nae uwe mkweli usiwe msemaji uongo juu yake,kumdanganya ovyo,kumficha yanayokusibu na yaliyotokea nyumban wakat yy alipokua hayupo,kua mkweli jiweke waz muoneshe hisia zako unapokua nae,mpe ukweli uliopo moyoni mwako,hii itamuonesha yy kua "mume yangu nimekupokea"

Jitahid na utafanikiwa


Wednesday, September 6, 2017

NJIA TANO ZA KUDUMISHA PENZI LAKO

Zijue njia tano nyepesi za kukufanya udumu kwenye mahusiano yako,,,


1;;kikawaida binaadamu tumeumbiwa kukoseana,,KUA MWEPESI WA KUSAMEHE,,
2;;katika maisha hakuna mkamilifu,JIFUNZE KUJISHUSHA


3;ni kweli kuna kipindi maisha yanakaba mpaka akili inadata lk,,EPUKA VISIRANI VISIVYO NA MPANGO


4,,,,tumezaliwa family tofauti yeye ana yake na wewe una yako,KUA MWEPESI KUULIZIA KUHUSU WAZAZI WAKE/MZAZI WAKE/NDUGU JAMAA WANAENDELEAJE?


5,,,inawezekana huko alipotokea alikua kwenye misukosuko ya mapenzi mpaka akaamua kukubali kua nawe ni moyo wake tuu ndio umekupenda hivyo basi,,,MPENDE MPAKA ASAHAU ALIPOTOKEA
➖ ➖ ➖ ➖ ➖ ➖ ➖


Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...