Wednesday, September 6, 2017

NJIA TANO ZA KUDUMISHA PENZI LAKO

Zijue njia tano nyepesi za kukufanya udumu kwenye mahusiano yako,,,


1;;kikawaida binaadamu tumeumbiwa kukoseana,,KUA MWEPESI WA KUSAMEHE,,
2;;katika maisha hakuna mkamilifu,JIFUNZE KUJISHUSHA


3;ni kweli kuna kipindi maisha yanakaba mpaka akili inadata lk,,EPUKA VISIRANI VISIVYO NA MPANGO


4,,,,tumezaliwa family tofauti yeye ana yake na wewe una yako,KUA MWEPESI KUULIZIA KUHUSU WAZAZI WAKE/MZAZI WAKE/NDUGU JAMAA WANAENDELEAJE?


5,,,inawezekana huko alipotokea alikua kwenye misukosuko ya mapenzi mpaka akaamua kukubali kua nawe ni moyo wake tuu ndio umekupenda hivyo basi,,,MPENDE MPAKA ASAHAU ALIPOTOKEA
➖ ➖ ➖ ➖ ➖ ➖ ➖


No comments:

Post a Comment

Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...