Wednesday, August 29, 2018

TIBA YA NGOZI


Strawberrys 5
Ndizi 2
Mbegu za ufuta vijiko 2
Mafuta ya zeitun vijiko 5
Ute wa yai 2
Maji robo kikombe na asali vijiko 2

Changanya vyote na usage kwenye brenda

Tumia kunywa kila siku asubuhi na jioni


No comments:

Post a Comment

Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...