Friday, February 16, 2018

Smoothie

Huu ni mchanganyiko ambao unakupa nguvu na afya,kuna vitu vitano ambavyo vyote ni muhimu kwa afya yako humo
1,,ndizi
2;;parachichi
3;;apple
4;;maziwa
5;;;asali

Haviitaji gharama kubwa,,chukua ndizi yako moja,parachichi moja,apple moja,maziwa glass moja na asali kijiko kimoja tuu au ukipenda unaweza kuongeza,,saga kwenye brenda na ni vizuri ukaanza kunywa huu mchanganyiko wako kabla hujala chochote,,enjoy


No comments:

Post a Comment

Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...