Friday, February 16, 2018

Tiba nzuri yakuondoa stress

Banana(ndizi)
Strawberry
Milk(maziwa)
Pear(peasi)
👇👇👇👇
Mchanganyiko rahisi wa vitu vinne tuu unaweza kukusaidia katika kupunguza au kuondoa kabisa stress,,

Kwa wenye tatizo la kutopata usingizi hii ni dawa nzuri sana kwenu ,,

Chakufanya andaa vitu vyako hivyo na usage pamoja kwenye brenda

Tumia kunywa asubuhi na jioni kila siku


No comments:

Post a Comment

Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...