Sunday, May 20, 2018

MKATE WA TURKY

Mahitaji
Unga 3 cups
Chumvi  kidogo
Olive oil 2 tsp
Sukari 1 tsp
Maziwa ya maji 1 cup
Maji 1cup
Khamira 1tsp
Yai 1
Laban(mtindi)
Haba souda
Ufuta
🍴🍴🍴🍴🍴
Chukua unga changanya na vitu vyote isipokua yai ufuta laban habasoda
Uchanganye unga wako ukisha changanika vizuri uwache umuke

Ukisha umuka ukate madonge 2 utandaze kama unavyoona kwenye picha chukua uma ufanye kama unautoboa toboa kama hapo pichan unavyouona
Chukua yai ile ya njano tu changanya na Laban (mtindi) kidogo  ichanganike vizuri ipake juu ya mikate yako vizuri chukua haba soda na ufuta tupia juu ya mkate wache umuuke tena choma kwa oven uwache uwe rangi kama hapo pichan
🍴🍴🍴🍴


No comments:

Post a Comment

Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...