Saturday, June 30, 2018

Peanut ice cream(ice cream ya karanga)

5 ingredients only
1,,,peanut(karanga)
2,,,cream milk
3,,,consened(kikopo cha maziwa mazito yenye sukari)
4,,,half small spoon of salt(chumvi nusu kijiko kile kidogo kabisa)
5,,,vanilla flavour(ladha ya vanilla)
     Saga karanga zako mpaka ziwe laini lakini sio sana
acha ziwe zinatafunika kwa mbali.

chukua bakulia mimina cream na consened na vanilla na ile chumvi anza kusaga kwa dakika 5.

vikishachanganyika mimina karanga zako na uchanganye kwa kutumia mwiko.

hifadhi kwenye frij tayari kwa kula,,,enjoy
      


No comments:

Post a Comment

Fish balls

FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...