Part1, keki laini ya sponge,,,
Tuangalie Mahitaji kwenye hii keki yetu:
Unga wa ngano gram 150 ambayo ni Sawa na vijiko 10 vya kulia chakula,,,sukari gram 60 ambayo ni Sawa na vijiko vinne mpaka vitano vya kulia chakula,,, mayai manne, maziwa ya maji vijiko 7 mpaka 8, ambayo ni MLS 90 mpaka 100 sio mbaya,,mafuta ya kupikia vijiko 8 ambayo ni MLS 60,,baking powder kijiko kimoja kidogo cha kukorogea chai,, ladha ya vanila kjk kdg au tumia ladha yoyote
Chukua bakuli mbili tofauti, moja weka viini vitupu vya mayai, na moja weka ute wa mayai, Anza kuchukua hii bakuli yenye ute tia baking powder yako ianze kusaga kwa speed kubwa kwa kutumia mashine ya kusagia, au kama utatumia mixer ya mkono basi uwe na speed kwenye kukoroga, uku ukiwa unakoroga uku unatia sukari kidogo kidogo mpaka sukari unamaliza endelea kusaga mpaka mchanganyiko wako ujae uwe mzito kama picha hii👇🏼 itavyokuonyesha
Thursday, February 20, 2020
Keksponge
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Fish balls
FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...
-
#biriani #goatbiriani #beefbiriani #birianiyambuzi Mahitaji 1.Mchele wa Basmat 1/2 Kg 2.Nyama ya Mbuzi Stake 1/2 Kg 3.Viazi mbatata viku...
-
Jinsi ya kutengeneza lipbam Aina ya kwanza mahitaji Vaseline /mafuta yoyote ya mgando yani petroleum jelly Mafuta ya Nazi Asali Rangi ...
-
MAKARONI mahitaji makaroni pacti (1) tomato fresh (4-5) kitunguu maji (1-2) hoho (1) karoti (1) maji ya moto kiasi nyama nusu ma...
No comments:
Post a Comment