HAKUNAGA SIRI KATI YA WAPENZI
Ukiona imeanza tu password inabadilishwa badilishwa, simu inaongelewa pembeni, meseji zinafichwa ujue kuna kitu kichafu kinaendelea.
Wengine ndo wanafikia hatua ya kubakiza vitu vya wapenzi wao wa nyuma au kujifanya wana urafiki tu. Ni nyoka wazuri tu wanasubiri muda muafaka wakung'ate
Mapenzi ni furaha, utani, jokes, tip kissings, romance, umoja, kushirikiana in success, kushikana mikono msianguke, kuicheka dunia, kuumia na kufurahia wote maisha, ni kuwa na amani ya kuwa mwili mmoja au kitu kimoja.
Haiwezekani asikutambulishe, asikuheshimu.
Tambua thamani yako.Respect your dignity. You cant b with low life loosers, akileta dharau,
Usifanye kama yeye utakua upo level moja na yeye.
Akileta ujinga mruhusu akafanye ujinga na wajinga wenzake. Haitaacha kukuuma ila ukijithamini watakuja wenye hadhi yako. Utachagua yupi umruhusu. Na watakuthamini.
Usirudi kwa makombo au mtu yeyote aliyechezea nafasi. Hata kama anasema amebadilika, ukirudi unajivua nguo.
Kubali kuumia, potezea upuuzi. Dunia ina watu wazuri wanajiheshimu na wanatafuta mtu kama wewe.
You deserve better
Sunday, July 16, 2017
BADILISHA AKILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Fish balls
FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...
-
Pishi hili maarufu kama Sphagetti bolognese,ni mchanganyiko wa tambi,nyama ya kusaga na njegere(optional). MAHITAJI: 1. Tambi mfuko mmoja...
-
#biriani #goatbiriani #beefbiriani #birianiyambuzi Mahitaji 1.Mchele wa Basmat 1/2 Kg 2.Nyama ya Mbuzi Stake 1/2 Kg 3.Viazi mbatata viku...
-
Jinsi ya kutengeneza lipbam Aina ya kwanza mahitaji Vaseline /mafuta yoyote ya mgando yani petroleum jelly Mafuta ya Nazi Asali Rangi ...
No comments:
Post a Comment