Inawezekana ukawa unajua,lakini sio mbaya nikikujuza zaidi,,,tuangalie faida tunazozipata ktk juice hizi tatu kiafya,,,,,
1,,juice ya nyanya,,imezoeleka kwamba nyanya ni kiungo mama kwenye mboga zetu tunazopika kila siku,lkn pia ni kiungo kwenye kachumbari,,je unajua faida yake ikiwa utaifanya kua juice?,,,hii ni nzuri zaidi kwa kinamama kwa sababu inasaidia kuzuia tatizo la saratani ya matiti,,
tunda la nyanya lina madini aina ya lycopene ambayo ni kemikali za mimea zinazozuia saratani kwa kiwango kikubwa sana,,
2,,juice ya nanasi,,hutumika kusaidia kuweka sawa mapigo ya moyo yanayoenda kwa kasi,,
,juice ya nanasi ina madini ya chuma,,,na pia tumezoea kuona karoti ndio tunda kuu ktk usafishaji wa macho,lkn pia nanasi lina nguvu kubwa ktk kuleta nuru ya macho na kuzuia maambukizi madogomadogo ya maradhi katika mwili
3,,,juice ya apple,,,katika kila tunda tunaona kuna upatikanaji mkubwa wa vitamin c,ikiwemo apple,,
lkn pia ikumbukwe kua juice ya apple husaidia kupunguza mwili, Ina viondoa sumu vya mwili (anti oxidants )hivyo inasaidia mtu kupunguza uwezekano wakupata cancer,,magonjwa ya moyo na sukari,,,,kuna faida nyingi sana endapo tutakula matunda kiufasaha,,,kaa nami mambo mazuri zaidi yanakuja,,,,,
Monday, July 31, 2017
FAIDA ZA UNYWAJI JUICE HIZI 3 TOFAUTI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Fish balls
FISH BALLS MAHITAJI Tuna vibati viwili (au samaki asiekuwa na miba wa kiasi) Cheese 3/4 cup (tea cup) iloparwa Carrot ndogo 1 (iloparwa ...
-
Pishi hili maarufu kama Sphagetti bolognese,ni mchanganyiko wa tambi,nyama ya kusaga na njegere(optional). MAHITAJI: 1. Tambi mfuko mmoja...
-
#biriani #goatbiriani #beefbiriani #birianiyambuzi Mahitaji 1.Mchele wa Basmat 1/2 Kg 2.Nyama ya Mbuzi Stake 1/2 Kg 3.Viazi mbatata viku...
-
Jinsi ya kutengeneza lipbam Aina ya kwanza mahitaji Vaseline /mafuta yoyote ya mgando yani petroleum jelly Mafuta ya Nazi Asali Rangi ...
No comments:
Post a Comment